Bomu Baridi la kuondoa tembo kwenye maeneo ya watu ni maboresho ya mbinu/dhana zilizokuwa zikitumika awali ambapo kwa mujibu wa utafiti zilionekana kuwa na ufanisi mdogo kwa baadhi ya maeneo […]
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ubunifu wa kuvumbua bomu baridi lililoboreshwa kwa ajili ya kupambana wanyama hatari kama Tembo kwa kushirikiana […]