Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kwa kuthamini umuhimu wa wadudu katika sekta ya uhifadhi na kuanzisha maabara maalumu ya kuwahifadhi wadudu wote wanaopatikana hapa nchini na nchi nyingine. Waziri Kairuki ametoa pongezi hizo katika maonyesho ya Karibu Kili Fair 2024 ambayo yamehitimishwa leo 9 […]
Hali ya usalama wa maisha ya kila siku kwa wananchi waishio pembezoni mwa ziwa Viktoria wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza yarejea baada ya Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii […]