Taarifa za kisayansi zinazotokana na Mradi wa muda mrefu wa Utafiti wa SIMBA SERENGETI unaoratibiwa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kupitia Kituo cha Utafiti wa Wanyamapori Serengeti, […]
Kituo cha Utafiti wa Wanyamapori Serengeti (SWRC) ni miongoni mwa vituo vitano vya Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kinachobeba historia ya chimbuko la tafiti za wanyamapori hapa nchini […]