Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 3,2024 limepitisha jumla ya shilingi 348,125,419,000 (bilioni mia tatu arobaini na nane milioni mia moja ishirini na tano laki nne na elfu kumi na tisa) ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2024/2025.