Na Neema Kilmba – Arusha
TAWIRI inawatangazia wananchi wote kuwa Tovuti hii ya Taasisi inayopatikana kwa anuani ya www.tawiri.or.tz inaendelea kufanyiwa maboresho makubwa yenye lengo la kuongeza wigo wa utoaji na upatikanaji taarifa mbalimbali zaTaasisi
Hivyo, kufuatia maboresho yanayoendelea baadhi ya taarifa mpya kuhusu matukio mbalimbali ya Wizara hazionekani hapa. Tunaomba radhi kwa usumbufu mnaoupata. Pia msiache kutufuatilia kupitia akaunti zetu za mitandao ya kijamii ya TWITTER, INSTAGRAM, FACEBOOK, YOUTUBE na TIKTOK – tawiri