Tanzania inaendelea kujivunia kuwa na utajiri mkubwa wa Rasilimali ya Wanyamapori ambapo inashikilia nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya Simba, Chui na Nyati. Haya yalibainishwa […]
Tanzania inaendeleaa kujivunia kuwa na utajiri mkubwa wa Maliasili ya Wanyamapori ambapo jitihada kubwa zinaendelea kufanyika kulinda rasilimali hii kwa kizazi kilichopo na kijacho . Miongoni mwa jitihada hizo ni […]
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Angellah Kairuki ametangaza rasmi matokeo ya sensa ya wanyamapori katika mifumo mitatu ya ikolojia ya Nyerere-Selous-Mikumi, Saadani-Wamimbiki na Serengeti ambayo ni miongoni mwa mifumo 11 […]