Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), Dkt. Eblate Mjingo amepongeza mradi wa utafiti wa Uandaaji Ramani za kubainisha makimbilio ya wanyamapori (Refugia) kwa miaka ijayo kwa kuzingatia […]
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana(Mb) amefanya ziara katika makao makuu ya Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) Njiro – Arusha, ambapo amebainisha umuhimu wa […]