Kituo cha Utafiti wa Wanyamapori Serengeti (SWRC) ni miongoni mwa vituo vitano vya Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kinachobeba historia ya chimbuko la tafiti za wanyamapori hapa nchini […]
Tarehe 22 Septemba ya kila mwaka, Jumuiya ya Kimataifa huadhimisha Siku ya Faru Duniani (World Rhino Day) ikiwa ni mwendelezo wa lengo la kuanzishwa kwa maadhimisho hayo mwaka 2011 nchini […]