BENKI YA SAMPULI ZA WANYAMAPORI KATIKA UHIFADHI ENDELEVU
Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kupitia Sehemu ya Sayansi ya Tiba na Maabara ya Wanyamapori imebainisha benki za sampuli za kibaolojia katika maabara, zinasaidia kupata taarifa za uchunguzi