Taarifa za kisayansi zinazotokana na Mradi wa muda mrefu wa Utafiti wa SIMBA SERENGETI unaoratibiwa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kupitia Kituo cha Utafiti wa Wanyamapori Serengeti,
Kituo cha Utafiti wa Wanyamapori Serengeti (SWRC) ni miongoni mwa vituo vitano vya Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kinachobeba historia ya chimbuko la tafiti za wanyamapori hapa nchini