DKT.MJINGO APIGA KURA
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) Dkt. Eblate Ernest Mjingo ametimiza haki yake ya msingi ya Kikatiba baada ya kukamilisha zoezi la upigaji kura katika Kituo cha Kwamrefu Halmashauri ya Jiji la Arusha
“Serikali za Mitaa,Sauti ya Wananchi,Jitokeze Kushiriki Uchaguzi”