Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) ni Miongoni mwa Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii zinazoshiriki maonesho ya Karibu KILI FAIR 2024 yanayoendelea katika viwanja vya Kisongo Mkoani Arusha.
Karibu KILI FAIR 2024, TAWIRI tupo tayari kukutumia tembelea banda la Maliasili na Utalii